MAONO
Maisha yaliyobadilishwa kwa
wakulima wa matunda katika
Kaunti ya Makueni
Kuendeleza mazao, kuzalisha na
kuuza Matunda na bidhaa za
matunda yenye ubora wa hali ya juu
duniani kote.
Kupunguza hasara baada ya mavuno
ya matunda, kudhibiti bei za matunda, na kutoa soko mbadala kwa matunda kutoka Kaunti ya Makueni.
NO. | Huduma Zinazotolewa | Mahitaji ya Mteja | Gharama za mtumiaji | Ratiba |
---|---|---|---|---|
1 | Kuhudumia wateja | Jitokeze | Bila malipo | Ndani ya dakika 15 |
2 | Majibu kwa Maswali ya kinywa/Mdomo | Fanya Kuuliza/uchunguzi | Bila malipo | Ndani ya dakika 3 |
3 | Majibu ya maswali yaliyoandikwa | Fanya Kuuliza/uchunguzi | Bila malipo | Ndani ya masaa 24 |
4 | Majibu kwa malalamiko ya umma | Toa Habari/Taarifa na ushirikiane | Bila malipo | Ndani ya wiki 2 |
5 | Kupokea bidhaa | 1) Mkataba uliosainiwa
2) Agizo Halali la Ununuzi wa Ndani 3) Noti/Karatasi la uwasilishaji | Bila malipo | Ndani ya dakika 30 |
6 | Ukaguzi na kukubalika kwa matunda | 1) Mkataba uliosainiwa
2) Agizo Halali la Ununuzi wa Ndani 3) Noti/Karatasi la uwasilishaji | Bila malipo | Ndani ya masaa 4 |
7 | Ukaguzi na kukubalika kwa
bidhaa/huduma/kazi | 1) Mkataba uliosainiwa
2) Agizo la Ununuzi la Ndani/Agizo la Huduma la Ndani linalofaa 3) Noti/Karatasi la uwasilishaji | Bila malipo | Ndani ya siku 21 tangu
tarehe ya uwasilishaji |
8 | Kupima na kupakua matunda | Ripoti ya ukaguzi wa ubora iliyotiwa saini | Bila malipo | Ndani ya masaa 4
baada ya ukaguzi |
9 | Usindikaji wa malipo | 1) Mkataba uliosainiwa
2) Agizo Halali la Ununuzi wa Ndani/Agizo la Huduma ya Ndani 3) Dokezo Halisi la Uwasilishaji 4) Ankara Asili 5) Ripoti ya Ukaguzi na kukubalika iliyotiwa Saini | Bila malipo | Ndani ya siku 30 |
10 | Kupeleka/Usafirishaji wa Bidhaa | Data/Taarifa za Msingi za Mteja
Agizo la Ununuzi/uthibitisho wa malipo | Bila malipo | Ndani ya siku 3 baada ya
kupokea agizo la ununuzi |
11 | Usambazaji wa huduma za ushauri
wa kilimo kwa kuongeza uzalishaji na ubora wa bidhaa | Kwa msingi wa mahitaji | Bila malipo | Ndani ya siku 30 |
12 | Kuunganisha Mashirika ya Wazalishaji
Wakulima na fursa za soko | Kwa msingi wa mahitaji | Bila malipo | Ndani ya siku 30 |
13 | Kuunganisha Mashirika ya Wazalishaji
Wakulima kwa watoa huduma za kifedha | Kwa msingi wa mahitaji | Bila malipo | Ndani ya siku 30 |
14 | Kujenga uwezo wa wakulima juu ya
mbinu bora za kilimo na viwango vya ubora wa kiwanda | Kwa msingi wa mahitaji | Bila malipo | Ndani ya siku 90 |
15 | Kuwezesha mkutano wa biashara
kwa biashara | Kwa msingi wa mahitaji | Bila malipo | Ndani ya siku 30 |
Kalamba, Off Ukia-Emali Road | P.o. Box 78-90300 | Tel No: 0705 739 739
Email: info@mcfdma.co.ke
2nd Floor, West End Towers, Waiyaki Way, Nairobi | P.O. Box 20414-00200 Nairobi
Tel : +254 (0)20 2270000/2303000
Email : complain@ombudsman.go.ke